DR. BITEKO ATUMBUA TENA TPDC NA TANESCO KUSINI.


Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati nchini Dr. Dotto Biteko amewaondoa kwenye nafasi zao meneja mawasiliano wa TPDC na Meneja mawasiliano wa TANESCO kusini baada ya kushindwa kutatua kero za wanachi. 

Dr. Biteko ameyasema hayo baada ya kutembelea mikoa ya kusini. Pia, amesema miradi ya mafuta na gesi asilia inayotekelezwa na serikali ya Dr. Samia Suluhu Hasani  itabadilisha maisha ya wananchi endapo miradi hiyo itasimamiwa vizuri ili kuleta tija nchini.

Comments

Popular posts from this blog

KILIMO BORA CHA MAHARAGE, TANZANIA

FAIDA KATIKA BIASHARA YA MAHINDI TANZANIA

LIMA KITAALAMU KITUNGUU MAJI UPATE FAIDA MARA 3